Yeremia 31:25-26
Yeremia 31:25-26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana nimeishibisha roho yenye uchovu, nami nimeiridhisha kila roho yenye huzuni. Basi, nikaamka, nikaangalia; na usingizi wangu ulikuwa mtamu kwangu.
Shirikisha
Soma Yeremia 31Yeremia 31:25-26 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nitawaburudisha waliochoka na kuwatuliza walio na huzuni.” Kwa jambo hili niliamka na kuangalia pande zote. Usingizi wangu ulikuwa mtamu kwangu.
Shirikisha
Soma Yeremia 31Yeremia 31:25-26 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliochoka nitawachangamsha, na walegevu nitawapa nguvu. Ndio maana mtu ataweza kusema: ‘Niliamka nikatambua kwamba usingizi wangu ulinifaa sana.’”
Shirikisha
Soma Yeremia 31