Yeremia 30:19
Yeremia 30:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Humo zitatoka nyimbo za shukrani na sauti za wale wanaosherehekea. Nitawaongeza na wala hawatakuwa wachache; nitawafanya waheshimiwe wala hawatadharauliwa.
Shirikisha
Soma Yeremia 30Yeremia 30:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena kwao itasikiwa shukrani, na sauti yao wachangamkao; nami nitawazidisha, wala hawatakuwa wachache; tena nitawatukuza, wala hawatakuwa wanyonge.
Shirikisha
Soma Yeremia 30