Yeremia 30:17
Yeremia 30:17 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nitakurudishia afya yako, na madonda yako nitayaponya, japo wamekuita ‘Aliyetupwa’, ‘Mji Siyoni usio na wa kuutunza!’”
Shirikisha
Soma Yeremia 30Yeremia 30:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya majeraha yako, asema BWANA, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, mji ambao hakuna mtu autakaye.
Shirikisha
Soma Yeremia 30