Yeremia 29:7
Yeremia 29:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Shughulikieni ustawi wa mji ambamo nimewahamishia. Niombeni kwa ajili ya mji huo, maana katika ustawi wake nyinyi mtastawi.
Shirikisha
Soma Yeremia 29Yeremia 29:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kautakieni amani mji ule, ambao nimewafanya mchukuliwe mateka, mkauombee kwa BWANA; kwa maana katika amani yake mji huo ninyi mtapata amani.
Shirikisha
Soma Yeremia 29