Yeremia 28:9
Yeremia 28:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nabii atabiriye amani, hutambuliwa tu kama nabii aliyetumwa na Mwenyezi-Mungu, ikiwa mambo aliyotabiri hutokea kweli.”
Shirikisha
Soma Yeremia 28Yeremia 28:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kweli kuwa BWANA amemtuma.
Shirikisha
Soma Yeremia 28