Yeremia 27:9
Yeremia 27:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nyinyi msiwasikilize manabii wenu, wapiga ramli wenu, watabiri wenu, waaguzi wenu au wachawi wenu, wanaowaambia: ‘Msimtii mfalme wa Babuloni.’
Shirikisha
Soma Yeremia 27Yeremia 27:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, kuhusu habari zenu, msisikilize manabii wenu, wala wabashiri wenu, wala ndoto zenu, wala watambuzi wenu, wala waganga wenu, wanaowaambia, ya kwamba, Hamtamtumikia mfalme wa Babeli
Shirikisha
Soma Yeremia 27