Yeremia 26:3
Yeremia 26:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Labda watasikiliza na kuacha njia zao mbaya. Wakifanya hivyo, huenda nikabadili nia yangu kuhusu maafa niliyonuia kuwaletea kwa sababu ya matendo yao maovu.
Shirikisha
Soma Yeremia 26Yeremia 26:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Labda watasikia, na kughairi na kuacha kila mtu njia yake mbaya; ili niyaghairi mabaya niliyokusudia kuwatenda, kwa sababu ya matendo yao maovu.
Shirikisha
Soma Yeremia 26