Yeremia 26:13
Yeremia 26:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa basi, rekebisheni mienendo yenu na matendo yenu na kutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Mkifanya hivyo, Mwenyezi-Mungu atabadili nia yake na kuacha kuwaletea maafa aliyotamka dhidi yenu.
Shirikisha
Soma Yeremia 26Yeremia 26:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa, tengenezeni njia zenu, na matendo yenu, mkaisikilize sauti ya BWANA, Mungu wenu; naye BWANA atayaghairi mabaya aliyoyanena juu yenu.
Shirikisha
Soma Yeremia 26