Yeremia 25:5
Yeremia 25:5 Biblia Habari Njema (BHN)
wakawaambieni kwamba kila mmoja wenu aachane na mwenendo wake mwovu na matendo yake mabaya, ili mpate kuishi katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu amewapa nyinyi na wazee wenu tangu zamani, muimiliki milele.
Shirikisha
Soma Yeremia 25Yeremia 25:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Rudini sasa, kila mtu na aiache njia yake mbaya; uacheni uovu wa matendo yenu, mkae katika nchi ambayo BWANA aliwapa, ninyi na baba zenu, tangu zamani za kale na hata milele
Shirikisha
Soma Yeremia 25