Yeremia 24:6
Yeremia 24:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawalinda daima na kuwarudisha katika nchi hii. Nitawajenga, wala sitawabomoa; nitawapanda, wala sitawangoa.
Shirikisha
Soma Yeremia 24Yeremia 24:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana nitawaelekezea macho yangu, wapate mema, nami nitawaingiza katika nchi hii tena; nami nitawajenga, wala sitawabomoa; nitawapanda wala sitawang'oa.
Shirikisha
Soma Yeremia 24