Yeremia 23:6
Yeremia 23:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika siku zake Yuda ataokolewa, na Israeli atakaa salama, na jina lake atakaloitwa ni hili, BWANA ni haki yetu.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika siku zake, Yuda ataokolewa na Israeli ataishi salama. Hili ndilo jina atakaloitwa: BWANA Haki Yetu.
Shirikisha
Soma Yeremia 23