Yeremia 15:16
Yeremia 15:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara maneno yako yalipofika, niliyameza; nayo yakanifanya niwe na furaha, yakawa utamu moyoni mwangu, maana mimi najulikana kwa jina lako, ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi.
Shirikisha
Soma Yeremia 15Yeremia 15:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maneno yako yalionekana, nami nikayala; na maneno yako yalikuwa ni furaha kwangu, na shangwe ya moyo wangu; maana nimeitwa kwa jina lako, Ee BWANA, Mungu wa majeshi.
Shirikisha
Soma Yeremia 15