Yeremia 13:16
Yeremia 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtukuzeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kabla hajawaletea giza, nanyi mkajikwaa miguu kwenye milima ya giza. Nyinyi mnatazamia mwanga, lakini anaugeuza kuwa utusitusi na kuufanya kuwa giza nene.
Shirikisha
Soma Yeremia 13Yeremia 13:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtukuzeni BWANA, Mungu wenu, kabla hajaleta giza, na kabla miguu yenu haijakwaa juu ya milima yenye giza; na wakati mnapoitazamia nuru, kabla hajaigeuza kuwa kivuli cha mauti, na giza nene.
Shirikisha
Soma Yeremia 13