Yeremia 13:10
Yeremia 13:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Watu hawa waovu, wanaokataa kusikiliza maneno yangu, wafuatao ukaidi wa mioyo yao na kufuata miungu mingine kuitumikia na kuiabudu, watakuwa kama mkanda huu ambao haufai kabisa!
Shirikisha
Soma Yeremia 13Yeremia 13:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu hawa waovu wanakataa kusikia maneno yangu, na badala yake wanakuwa wakaidi na kufuata mawazo yao wenyewe. Wanaifuata miungu mingine, wanaitumikia na kuiabudu. Hao watakuwa kama kikoi hiki ambacho hakifai kitu.
Shirikisha
Soma Yeremia 13