Yeremia 11:20
Yeremia 11:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, ee Mwenyezi-Mungu wa majeshi, wewe unayehukumu kwa haki, unayepima mioyo na akili za watu, unijalie kuona ukiwalipiza kisasi, maana kwako nimekiweka kisa changu.
Shirikisha
Soma Yeremia 11Yeremia 11:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, Ee BWANA wa majeshi, uhukumuye haki, ujaribuye fikira na moyo, nijalie kuona kisasi chako juu yao; kwa maana nimekufunulia wewe neno langu.
Shirikisha
Soma Yeremia 11