Waamuzi 6:17
Waamuzi 6:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Gideoni akajibu, “Kama basi nimepata kibali machoni pako, nipe ishara kuonyesha kweli kwamba ni wewe unayesema nami.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Gideoni akamwambia, “Basi, ikiwa nimepata fadhili kwako, nioneshe ishara ili nijue kuwa ni wewe kweli uliyezungumza nami.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6