Waamuzi 6:14
Waamuzi 6:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA akamgeukia na kusema “Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli kutoka mikononi mwa Wamidiani. Je, si mimi ninayekutuma wewe?”
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamgeukia, akamwambia, “Nenda kwa uwezo ulio nao, ukaikomboe Israeli kutoka Wamidiani. Ni mimi ninayekutuma.”
Shirikisha
Soma Waamuzi 6