Waamuzi 3:31
Waamuzi 3:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya Ehudi mwana wa Anati, Shamgari alishika nafasi yake. Yeye aliwaua Wafilisti 600 kwa fimbo ya kuchungia ng'ombe. Naye pia aliwakomboa Waisraeli.
Shirikisha
Soma Waamuzi 3Waamuzi 3:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena baada ya Ehudi alikuwapo Shamgari mwana wa Anathi, aliyewaua Wafilisti watu mia sita kwa fimbo ya kuswagia ng'ombe; naye aliwaokoa Israeli.
Shirikisha
Soma Waamuzi 3