Waamuzi 21:1
Waamuzi 21:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Waisraeli walikuwa wameapa huko Mizpa kwamba hakuna hata mmoja wao ambaye angemwachia binti yake aolewe kwa watu wa kabila la Benyamini.
Shirikisha
Soma Waamuzi 21Waamuzi 21:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi watu wa Israeli walikuwa wameapa huko katika Mispa, wakisema, Hapana mtu yeyote kwetu sisi atakayemwoza binti yake kumpa Benyamini.
Shirikisha
Soma Waamuzi 21