Waamuzi 1:9
Waamuzi 1:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baadaye wana wa Yuda wakateremka ili wapigane na hao Wakanaani waliokaa katika nchi yenye milima, na nchi ya Negebu, na nchi ya Shefela.
Shirikisha
Soma Waamuzi 1Waamuzi 1:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Baada ya hayo, watu wa Yuda wakateremka kupigana na Wakanaani walioishi katika nchi ya vilima, yaani, Negebu na nchi chini ya vilima vya magharibi.
Shirikisha
Soma Waamuzi 1