Yakobo 4:4
Yakobo 4:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi wazinzi, hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.
Shirikisha
Soma Yakobo 4Yakobo 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nyinyi ni watu msio na uaminifu kama wazinzi. Je, hamjui kwamba kuwa rafiki wa ulimwengu ni kuwa adui wa Mungu? Yeyote anayetaka kuwa rafiki wa ulimwengu anajifanya adui wa Mungu.
Shirikisha
Soma Yakobo 4