Yakobo 3:13
Yakobo 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, ni nani mwenye hekima na akili miongoni mwenu? Basi, aoneshe jambo hilo kwa mwenendo wake mzuri na kwa matendo yake mema yanayofanyika kwa unyenyekevu na hekima.
Shirikisha
Soma Yakobo 3Yakobo 3:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aoneshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole wa hekima.
Shirikisha
Soma Yakobo 3Yakobo 3:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
N’nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aonyeshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole wa hekima.
Shirikisha
Soma Yakobo 3