Yakobo 1:25
Yakobo 1:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mtu anayeangalia kwa makini sheria kamilifu ambayo huwapa watu uhuru, mtu anayeendelea kuizingatia, na si kuisikia tu na kuisahau baadaye, bali anaitekeleza, mtu huyo atabarikiwa katika kila kitu anachofanya.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini aliyeitazama sheria kamilifu iliyo ya uhuru, na kukaa humo, asiwe msikiaji msahaulifu, bali mtendaji wa kazi, huyo atakuwa heri katika kutenda kwake.
Shirikisha
Soma Yakobo 1