Yakobo 1:23-24
Yakobo 1:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeyote anayesikiliza hilo neno lakini halitekelezi, huyo ni kama mtu anayejiangalia sura yake mwenyewe katika kioo. Hujiangalia mwenyewe, kisha huenda zake, na mara husahau jinsi alivyo.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, mtu huyo ni kama mtu anayejiangalia uso wake katika kioo. Maana hujiangalia, kisha huenda zake, mara akasahau jinsi alivyo.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, mtu huyo ni kama mtu anayejiangalia uso wake katika kioo. Maana hujiangalia, kisha huenda zake, mara akasahau jinsi alivyo.
Shirikisha
Soma Yakobo 1