Yakobo 1:2-3
Yakobo 1:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zangu, muwe na furaha mnapopatwa na majaribu mbalimbali, kwani mwajua kwamba imani yenu ikisha stahimili, itawapatieni uvumilivu.
Shirikisha
Soma Yakobo 1Yakobo 1:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndugu zangu, hesabuni ya kuwa ni furaha tupu, mkiangukia katika majaribu mbalimbali; mkifahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.
Shirikisha
Soma Yakobo 1