Isaya 9:5
Isaya 9:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Viatu vyote vya washambulizi vitani na mavazi yote yenye madoa ya damu yatateketezwa kama kuni za kuwasha moto.
Shirikisha
Soma Isaya 9Isaya 9:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana silaha zote za mtu mwenye silaha wakati wa mshindo, na mavazi yaliyovingirishwa katika damu, yatakuwa tayari kuteketezwa, yatakuwa kuni za kutiwa motoni.
Shirikisha
Soma Isaya 9