Isaya 9:4
Isaya 9:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana nira nzito walizobeba, nira walizokuwa wamefungwa, na fimbo ya wanyapara wao, umezivunjavunja kama wakati wa Wamidiani.
Shirikisha
Soma Isaya 9Isaya 9:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana umeivunja nira ya mzigo wake, na gongo la bega lake, na fimbo yake yeye aliyemwonea, kama katika siku ya Midiani.
Shirikisha
Soma Isaya 9