Isaya 66:22
Isaya 66:22 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kama vile mbingu mpya na dunia mpya nitakazoumba zitakavyodumu milele kwa uwezo wangu, ndivyo wazawa wako na jina lako litakavyodumu.
Shirikisha
Soma Isaya 66Isaya 66:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama vile mbingu mpya na nchi mpya, nitakazofanya, zitakavyokaa mbele zangu, asema BWANA, ndivyo uzao wenu na jina lenu litakavyokaa.
Shirikisha
Soma Isaya 66