Isaya 66:13
Isaya 66:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama mama amtulizavyo mwanawe, kadhalika nami nitawatuliza; mtatulizwa mjini Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Isaya 66Isaya 66:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfano wa mtu ambaye mama yake amfariji, ndivyo nitakavyowafariji ninyi; nanyi mtafarijiwa katika Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Isaya 66Isaya 66:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mfano wa mtu ambaye mama yake amfariji, ndivyo nitakavyowafariji ninyi; nanyi mtafarijiwa katika Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Isaya 66