Isaya 66:1
Isaya 66:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mbingu ni kiti changu cha enzi, dunia ni kiti cha kuwekea miguu yangu. Mtanijengea nyumba ya namna gani basi, Mahali nitakapoweza kupumzika?
Shirikisha
Soma Isaya 66Isaya 66:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu; mtanijengea nyumba ya namna gani? Na mahali pangu pa kupumzikia ni mahali gani?
Shirikisha
Soma Isaya 66