Isaya 65:23
Isaya 65:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kazi zao hazitakuwa bure, wala hawatazaa watoto wa kupata maafa; maana watakuwa waliobarikiwa na Mwenyezi-Mungu, wamebarikiwa wao pamoja na wazawa wao.
Shirikisha
Soma Isaya 65Isaya 65:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hawatajitaabisha kwa kazi bure, wala hawatazaa kwa taabu; kwa sababu wao ni wazao wa hao waliobarikiwa na BWANA, na watoto wao pamoja nao.
Shirikisha
Soma Isaya 65