Isaya 65:1
Isaya 65:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema; “Nilikuwa tayari kujionesha kwao wasiouliza habari zangu. Nilikuwa tayari kuwapokea wale wasionitafuta. Nililiambia taifa ambalo halikuomba kwa jina langu: ‘Nipo hapa! Nipo hapa!’
Shirikisha
Soma Isaya 65Isaya 65:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; nililiambia taifa lisiloitwa kwa jina langu
Shirikisha
Soma Isaya 65