Isaya 60:4
Isaya 60:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Inua macho utazame pande zote; wote wanakusanyika waje kwako. Wanao wa kiume watafika toka mbali, wanao wa kike watabebwa mikononi.
Shirikisha
Soma Isaya 60Isaya 60:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Inua macho yako, utazame pande zote; Wote wanakusanyana; wanakujia wewe; Wana wako watakuja kutoka mbali. Na binti zako watabebwa nyongani.
Shirikisha
Soma Isaya 60