Isaya 6:2
Isaya 6:2 Biblia Habari Njema (BHN)
na juu yake walikuwa wamekaa malaika. Kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Mawili ya kufunika uso, mawili ya kufunika mwili na mawili ya kurukia.
Shirikisha
Soma Isaya 6Isaya 6:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka.
Shirikisha
Soma Isaya 6