Isaya 6:1
Isaya 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnamo mwaka aliofariki mfalme Uzia, nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi kilicho juu na cha fahari. Pindo la vazi lake lilienea hekaluni mote
Shirikisha
Soma Isaya 6Isaya 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nilimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu.
Shirikisha
Soma Isaya 6