Isaya 59:5
Isaya 59:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnaangua mayai ya joka lenye sumu, mnafuma utando wa buibui. Anayekula mayai yenu hufa, na yakipasuliwa nyoka hutokea.
Shirikisha
Soma Isaya 59Isaya 59:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huangua mayai ya fira, na kusuka wavu wa buibui; yeye alaye mayai yao hufa, na hilo livunjwalo hutoka nyoka.
Shirikisha
Soma Isaya 59