Isaya 58:4
Isaya 58:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnafunga, na kugombana na kupigana ngumi. Mkifunga namna hiyo maombi yenu hayatafika kwangu juu.
Shirikisha
Soma Isaya 58Isaya 58:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, ninyi mnafunga ili mpate kushindana na kugombana, na kupiga kwa ngumi ya uovu. Kufunga kama huku kwa siku ya leo hakutafanya sauti zenu zisikike juu.
Shirikisha
Soma Isaya 58