Isaya 56:2
Isaya 56:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri mtu anayezingatia kikamilifu ninayosema, anayeshika sheria ya Sabato kwa heshima na kuepa kutenda uovu wowote.
Shirikisha
Soma Isaya 56Isaya 56:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri afanyaye haya, na mwanadamu ayashikaye sana; azishikaye sabato asizivunje, auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.
Shirikisha
Soma Isaya 56