Isaya 55:9
Isaya 55:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama vile mbingu zilivyo mbali na dunia, ndivyo njia zangu zilivyo mbali na zenu, na mawazo yangu mbali na mawazo yenu.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, ndivyo njia zangu zilivyo juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
Shirikisha
Soma Isaya 55