Isaya 55:7
Isaya 55:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Waovu na waache njia zao mbaya, watu wabaya waachane na mawazo yao mabaya; wamrudie Mwenyezi-Mungu apate kuwahurumia, wamwendee Mungu wetu maana atawasamehe.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
Shirikisha
Soma Isaya 55