Isaya 54:2
Isaya 54:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako.
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Panua nafasi hemani mwako, tandaza mapazia hapo unapoishi, usijali gharama zake. Zirefushe kamba zake, na kuimarisha vigingi vyake
Shirikisha
Soma Isaya 54Isaya 54:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako; usiwakataze; ongeza urefu wa kamba zako; vikaze vigingi vya hema yako.
Shirikisha
Soma Isaya 54