Isaya 53:6
Isaya 53:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Sisi sote tumepotea kama kondoo, kila mmoja wetu ameelekea njia yake. Lakini Mwenyezi-Mungu alimtwika adhabu, ambayo sisi wenyewe tuliistahili.
Shirikisha
Soma Isaya 53Isaya 53:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na BWANA ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
Shirikisha
Soma Isaya 53Isaya 53:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na BWANA ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.
Shirikisha
Soma Isaya 53