Isaya 51:22
Isaya 51:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, Bwana wako na Mungu wako, awateteaye watu wake, asema hivi, Tazama, nimeondoa mkononi mwako kikombe cha kulevyalevya, hilo bakuli la hasira yangu; hutalinywea tena
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Bwana, Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, awateteaye watu wake, asema hivi: “Nimekuondolea kikombe cha kuyumbisha, hutakunywa tena kikombe cha ghadhabu yangu.
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA, Bwana wako na Mungu wako, awateteaye watu wake, asema hivi, Tazama, nimeondoa mkononi mwako kikombe cha kulevya-levya, hilo bakuli la kikombe cha hasira yangu; hutakinywea tena
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi wako, Mungu wako, yeye ambaye huwatetea watu wake: “Tazama, nimeondoa mkononi mwako kikombe kilichokufanya uyumbayumbe; kutoka kikombe hicho, kikombe cha kunywa cha ghadhabu yangu, kamwe hutakunywa tena.
Shirikisha
Soma Isaya 51