Isaya 51:12
Isaya 51:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mimi, naam mimi, ndimi ninayekufariji. Kwa nini wewe unamwogopa mtu ambaye hufa, binadamu ambaye hutoweka kama nyasi?
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi, naam, mimi, ndimi niwafarijiye; wewe u nani hata ukamwogopa mtu atakayekufa, na mwanadamu atakayefanywa kuwa kama majani?
Shirikisha
Soma Isaya 51