Isaya 51:11
Isaya 51:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wako uliowakomboa, ee Mwenyezi-Mungu, watarudi, watakuja Siyoni wakiimba; watajaa furaha ya milele, watapata furaha na shangwe. Huzuni na maombolezo vitatoweka kabisa.
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waliokombolewa na BWANA watarejea, Watafika Sayuni, wakiimba; Furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao; Watapata shangwe na furaha; Huzuni na kuugua zitakimbia.
Shirikisha
Soma Isaya 51