Isaya 49:15
Isaya 49:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu asema: “Je, mama aweza kumsahau mwanawe anayenyonya, asimwonee huruma mtoto wa tumbo lake? Hata kama mama aweza kumsahau mwanawe, mimi kamwe sitakusahau.
Shirikisha
Soma Isaya 49Isaya 49:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.
Shirikisha
Soma Isaya 49