Isaya 48:11
Isaya 48:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Ninafanya hivyo kwa ajili yangu mwenyewe. Kwa nini jina langu lidharauliwe? Utukufu wangu siwezi kumpa mwingine!
Shirikisha
Soma Isaya 48Isaya 48:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 48