Isaya 48:10
Isaya 48:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Tazama, nimekusafisha, ingawa si kama fedha, nimekujaribu katika tanuru ya mateso.
Shirikisha
Soma Isaya 48Isaya 48:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nitawajaribu lakini si kama fedha katika tanuri. Nitawajaribu katika tanuri ya taabu.
Shirikisha
Soma Isaya 48