Isaya 47:14
Isaya 47:14 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kumbuka, wao ni kama mabua makavu: Moto utayateketezea mbali! Hawawezi hata kujiokoa wenyewe mbali na ukali wa moto huo. Moto huo si wa kujipatia joto, huo si moto wa kuota!
Shirikisha
Soma Isaya 47Isaya 47:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, watakuwa kama mabua makavu; moto utawateketeza; hawatajiokoa kutoka kwa nguvu za muali wa moto; hili halitakuwa kaa la kujipasha moto, wala moto wa kuota.
Shirikisha
Soma Isaya 47