Isaya 44:6
Isaya 44:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu, Mfalme na Mkombozi wa Israeli, naam, Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Mimi ni wa kwanza na wa mwisho; hakuna Mungu mwingine ila mimi.
Shirikisha
Soma Isaya 44Isaya 44:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA, Mfalme wa Israeli, Mkombozi wako, BWANA wa majeshi, asema hivi; Mimi ni wa kwanza, na mimi ni wa mwisho; zaidi yangu mimi hapana Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 44